hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 1, 2013

HAWA NDIO WATUMIAJI 11 WA MADAWA YA KULEVYA WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI



STEVE JOBS 
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People” mwaka huo huo. 


Sir Richard Branson 
Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old son. alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa, atauza. 

Michael Phelps 
Jamaa ana medali nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni “bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna kitu kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini bado unavuta pia. 

Stereotype shattered. 

Francis Crick 
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake. 

Barack Obama 
Karibia kila raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka 2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza kuwa hata rais. 


Michael Bloomberg 
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!” 


Ted Turner 
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college. 


Richard Feynman 
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic bomb. Sikusema wote kwenye list hii wana busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum electrodynamics.” 



Sergey Brin 
Ana Bachelor of Science kutoka University of Maryland, Masters of Science kutoka Stanford na alichukua kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu University of Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani. 


Arnold Schwarzenegger 
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold, marijuana “is not a drug, it’s a leaf.”

No comments:

Post a Comment