Majina ya wasanii wa muziki Tanzania ambao wameweza kuingia katika kinyang'anyiro cha tuzo za muziki za Kilimanjaro, yametangtazwa rasmi jijini Dar es Salaam tayari kabisa kwa kuanza mchakato wa kushindanishwa kwa ajili ya kufahamu washindi ambao watakua wasanii bora kwa mujibu wa tuzo hizo kwa mwaka huu.
Katika mchakato wa mwaka huu na kama hatua moja ya maboresho yake, Vipengelea ambavyo vitakuwa vikishindaniwa mwaka huu vimeongezeka na kufikia 35.
Tuzo za Kilimanjaro Music zitafanyika kwa mwaka huu tarehe 8 Mwezi Juni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, na katika kipindi hiki cha kati hatua zitakazofuata ni pamoja na Semina kwa wasanii na Upigaji kura ambao utaanza Mei tarehe 2.

Tatianna akimoderate shughuli nzima |
Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro, George Kavishe |
Mwakilishi kutoka Innovet akikabidhi list ya Nominees kwa mwakilishi wa Baraza la Sanaa Tanzania, Bwana Angelo Luhala. |
Orodha ikionyeshwa kwa waandishi wa Habari |
Bwana Angelo Luhala kutoka BASATA akisoma list ya Nominees. |
No comments:
Post a Comment