hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, February 19, 2013

WANAWAKE WAKAA UCHI MBELE YA WATOTO KWENYE KIGODOLO

 

Katika hali isiyotegemewa dada huyu alikutwa na camera yetu akimwaga radhi kwenye daladala pasipo kujua wala kuangalia nyuma yake kuna watoto wadogo au watu wazima wanamuangalia,balaa alikuwa dogo kila dada aliekuwepo kwenye gari hili aina ya double costa,alikuwa anamwaga radhi kwa style yake ila dada huyu alifanya balaa la kumwaga radhi kwa watu wengine ambao waliokuwa wakipita zao barabarani nakujionea vitu bure kabisa,'' WATOTO WA SIKU HIZI WAMEKOSA ADABU KABISA'' alisikika mzee mmoja wa makamo akisema.

 

Huu ni mtindo mpya wa muziki ambao unapigwa uswahilini unaitwa kigodolo watu umwaga radhi mbele ya watoto wadogo bila ya woga wa aina yoyote hili na wazazi wao wakiwepo wakiangalia upumbavu huo.

 
 

haya sasa short people kweli dizasta

 
 

Katika nyakati tofauti wakinadada hawa nao walionekana juu ya gari wakikata miuno live bila nya chenga jaman tunaelekea wapi? hivi umu barabarani trafic hakuna au/

 
 
 
 



No comments:

Post a Comment