hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, February 20, 2013

HYPER HK MODEL OF THE WEEK - ROSH-LYNN

 Huyu ndio model wa wiki hii kutoka hyper hk model of the week, anaitwa ROSHBAN KHAN a.k.a ROSHY-LYNN SCHWEZEINER  ni model anaependa sana  FASHION, MOVIE, MUSIC, SWIMMING, Amesoma chuo cha learn IT, Anapendelea sana kutoka, kwenda club kama NEW MAISHA CLUB,RUNWAY,CLUB AMBASSODER,DOUBLE TREE FOR SHEESHA na kwa sasa anafanya kazi katika kampuni ya PRINT HOUSE iliyoko kinondoni muslim,

 Alishapitia katika kampuni mbalimbali za MODELING kama true eyes modeling agency,mzinga planet media na smiling faces company,

 Pia alishawahi kushiriki kwenye mashindano ya TANZANIA TOP MODEL,UNIQUE MODEL,MISS PLANET TOP MODEL,KHANGA ZA KALE na PHOTOSHOOT tofauti tofauti.

 Pia mrembo huyu ni disgner na pia up coming tv presenter, ana vipindi vyake vizuri vya entertaiment na talk show hivyo kaaa tayari kwa ajili ya mrembo huyu soon kwenye tv yako

 Kwa hapa bongo ni mpenzi sana wa nyimbo za BARNABAS,ALLY KIBA,DIAMOND na DULY SYKES na kwa upande wa kina dada anampenda LINNAH,RECHO na SHAA ooohhh das my favourite ARTIST.

Kwa upande wa nje ya tanzania mwanadada huyu anamkubali sana KAT DELUNA,NIKKI MINAJ na RIHANNA kwa upande wa wanaume anamkubali sana  CRISS BROWN,TREY SONG,ENRIQUE,DRAKE na BIG SEAN.  

 

Haya wewe ni mrembo na unataka kutokea kwenye hyper hk model of the week tuma picha zako kali kwenye email hii. hemedkavu@yahoo.com

No comments:

Post a Comment