hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, February 26, 2013

HYPER HK MODEL OF THE WEEK - zuhura gora

 Kwa jina anajulikana kama zuhura gora,elimu yake ya msingi na secondaryamepata dodoma primary school and secondary, anapenda sana kuwa na furaha na familia yake na marafiki zake. umpenda mtu mkweli hapendi uongo,na ugomvi.

 Wasanii anao wakubali tanzania ni PROF JAY,LADY JAYDEE,SNURA,ALI KIBA,DIAMOND PLATNUM,DIMPOZI,na VANESSA MDEE.Kwa hapa tanzania

  

Kwa upande wa nje ya nchi anamkubali sana RIRI,CHRISS BROWN,BEYONCE,CIARA,DRAKE, na LiL WYNE,  

 Amepita katika modelling agency hizi zifuatazo kama REAL 2 REAL,NAYASAS,na  KIDOTI LOVING.

.

 Upendelea kutoka kwenda NEW MAISHA CLUB,RUNWAY, chilling place MBALAMWEZI na COCO.Ujumbe wake ni kwa wazazi kuwa wawaruhusu ma binti zao wafanye modelling cozi sio uhuni ni tabia ya mtu.

 Pia mwanadada huyu ni video queen wa bongo ameshang'aa kwenye video kama KAMILI GADO-PROF JAY,SINGLE BOY - ALI KIBA FT LADY JAY DEE,NAKUCHUKIA MWAKA JANA-IZO B,KIBOKO YAO-TIP TOP CONNECTION,na GOING CRAZY YA HEMEDY PHD.

 Pia ni upcoming presenter wa eatv hivyo kaa tayari soon kumuona kupitia tv  yako

 hapa akionyesha nywele za kidoti

  hapa akiwa na hemedy phd kwenye video shooting ya wimbo wa hemedy wa going crazy, je wewe ni model na unajikubali basi kama jibu ni ndio tupia picha zako kwenye email yangu ule shavu kwenye model of the week hemedkavu@yahoo.com

 

No comments:

Post a Comment