hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, February 2, 2013

HUYU NDIO MWANAMKE MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI




Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyeshelehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani

No comments:

Post a Comment