hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, February 3, 2013

AJALI TATU TOFAUTI ZATOKEA SIKU MOJA NJIA YA DODOMA MAGARI MAWILI YA AZAM

 Hii imetokea maeneo ya gairo nyuma yake kuna tuta kubwa sana usipokuwa makini nalo lazima likuletee balaa na ndo nahisi hili limeleta ajali hiii

 hii imetokea maeneo ya mbande kwa mbele kidogo maalufu sehemu ya kuhuza nyama za mbuzi tamu sana.

 dereva wa gari hii ameumia vibaya sana na yuko mahututi hospitali na utingo wake ameumia sehemu ya bega na mbavu aliongea na hyperman hk alisema ajali hiii ilitokea mida ya saa kumi na mbili alfajir dereva wake alikuwa amechoka sana na alikuwa anasinzia hivyo kupelekea ajali hii mbaya.

 Tulisimamisha gari na kuwapa msaada wa nyama tulizo nunua mbande pamoja na maji ya kunywa kwa mana kupata msaada maeneo hayo ni nadra sana.


 Ajali hiii ya gari la azam tumekutana nayo maeneo ya kibaigwa hivi vijiji vinafatana kabisa  kinaanza mbande inakuja kibaingwa inafata gairo na kila kijiji tumekutana na ajali hizi unazooona hizi picha.






Picha na habari BY www.hyperhk.blogspot.com

No comments:

Post a Comment