Pages

Tuesday, April 16, 2013

SNURA ATOA SIRI YA FAMILIA YAO KWENYE KIPINDI CHA AMPLIFIRE NA MILLARD AYO


 Akiongea kwenye interview kwenye kipindi penda tanzania kinachotoa habari kumi bora za siku kinachoendeshwa na MILLARD AYO, Msanii anaetamba na kuja juu kwa kasi na wimbo wake wa MAJANGA mwanadada SNURA alijikuta akitoa siri ya ya mstari aliouimba mwenyewe kwenye wimbo wake wa MAJANGA, kuwa ulitokea kweli kwenye familia yao, mstari huo unaosema ''HELA KATAFUTA YEYE,NYUMBA KAJENGA MWENYEWE, MALI TUGOMBEE SIE.hali hiyo imeleta utata nyumbani kwa kina snura baada ya wazazi wake kusikia interview hiyo! PALE MILLARD hayo alipomuhuliza SNURA kwenye huu wimbo wa MAJANGA kuna janga ambalo limekukuta wewe kama wewe au lipi janga la kweli linalokuhusu?,


 hapo ndipo SNURA alipofunguka kwamba wazazi wake walishagombania mali za marehemu bibi yao,ndio mana akaweka mstari huo. hapo ndipo wazai wake wakasema  mtoto huyu mbona hana hadabu mpaka kuamua kutoa siri za familia kwenye vyombo vya habari? kutuimba katuimba na bado ametuongelea kwenye radio.Akiongea na HYPERMAN HK msanii wakike anaekubalika sana na wimbo wake majanga alisema kila alihokiimba humo katika wimbo wa majanga kama haumuhusu yeye? basi kuna ambae unamuhusu kwa haina moja au nyingine.

 millard ayo na snura

SNURA live na MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment