Pages

Tuesday, April 16, 2013

MUONEKANO MPYA WA SEHEMU YA CHAKULA YA NEW MAISHA CLUB DAR



Huu hapa muonekanao mpya wa sehemu ya kupatia msosi pale NEW MAISHA CLUB DAR iko na  makochi mazuri yakukuwezesha kuwa comfortable kwa ajili ya kupata chakula bora na kizuri. 

 Unaweza kujipatia chakula 24 hours mchana na usiku, wanapokea hoda mbali mbali za vyakula na ni sehemu poa sana kwa muda wa mchana unaweza kupita maeneo hayo nakujipatia msosi mzuri.






Kuna vyuku vyakutosha vinapatikana hapa.kuanzia mapema sanaa. unakaribishwa BAR iko wazi kuanzia asubuhi na supu ya nguvu inapatikana pale.KARIBUNI SANA

No comments:

Post a Comment