Pages

Monday, March 11, 2013

PASHA KUFATA NYAYO ZA CHEGE NA AY KIBIASHARA

 

Duka la chege chigunda

Mkali wa muziki wa bongo fleva pasha mtepa ameamua kufata nyayo za wasanii wenzake kina chege na ay katika swala zima la kutotegemea muziki peke yake na badala yake kuamua kufungua duka kwa ajili kufanya biashara za nguo, akiongea na x deejayz msanii pasha alisema ameamua kufungua duka hilo mtwara kwasababu ya mtwara hakuna maduka mengi ya nguo,pia alisema duka lake lipo katika uwanja wa mpira wa umoja mkoani mtwara.alisema kuwa kwa sasa mtwara inakua kila siku na watu wanahitaji vitu kama hivyo lakini hawapati mpaka waje dar wakati kunakumbi kali yakujidai kama NEW MAISHA CLUB watu wanahitaji kupendeza sana hili watokelezee

No comments:

Post a Comment