Pages

Monday, March 11, 2013

ALICHOKIANDIKA HYPERMAN HK KWENYE FACEBOOK KUHUSU MAMA YAKE MZAZI KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 

 

Hiki ndio amekiandika hyperman hk kwenye facebook kuhusu mam ayake mzazi aliemzaa kwenye siku ya wanawake duniani.

Happy mother's day, nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama yangu kwa kunizaa,kunilea na kunipa mahitaji yote muhimu mpaka kufikia leo najitambua najielewa na naweza kujitegemea. sina maneno mengi kwako mama yangu nachoweza kusema ni neno moja tu'' NAKUPENDA'' nikwambie nini tena.

No comments:

Post a Comment