PASHA KUFATA NYAYO ZA CHEGE NA AY KIBIASHARA
Duka la chege
chigunda
Mkali wa muziki wa bongo fleva pasha mtepa
ameamua kufata nyayo za wasanii wenzake kina chege na ay katika swala zima la
kutotegemea muziki peke yake na badala yake kuamua kufungua duka kwa ajili
kufanya biashara za nguo, akiongea na x deejayz msanii pasha alisema ameamua
kufungua duka hilo mtwara kwasababu ya mtwara hakuna maduka mengi ya nguo,pia
alisema duka lake lipo katika uwanja wa mpira wa umoja mkoani mtwara.alisema
kuwa kwa sasa mtwara inakua kila siku na watu wanahitaji vitu kama hivyo lakini
hawapati mpaka waje dar wakati kunakumbi kali yakujidai kama NEW MAISHA CLUB
watu wanahitaji kupendeza sana hili watokelezee
No comments:
Post a Comment