hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, June 20, 2014

xtreme deejayz kuwaburudisha wanavyuo waliomaliza mtihani na chuo usiku wa leo

lile chama la madeejayz la xtreme deejayz lenye ujuzi wa kipekee wa kutumia drums wakati wakutoa burudani zake usiku wa leo new maisha club..dar litatoa burudani safi kwa ajili ya wanafunzi wa CBE na T.I.A akiongea na blog hii ya burudani... gila the boss amesema wanafunzi hao watakuja mapema sana kuanzia saa 4 usiku mpaka asubuhi... kiingilio ni 8,000 kwa wananfunzi ila watu tofauti na wanafunzi watalipa elfu 10... mnakaribiswa....

No comments:

Post a Comment