hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, June 20, 2014

Inawezekana huu ni ujio mpya wa msanii y tony -masebene, MY SHITOBE

Katika pita pita zangu nimekutana na coming soon cover ya ya msanii aliefanya vizuri na kuingia kwenye tuzo za kili y tony na ngoma yake ya masebene.. hapa nahisi anataka kutoa mzigo mpya kwa maana hii coverimenibamba sana....

1 comment:

  1. litakua bonge moja na ngoma in town Tshaa Y-tony ambassador Babyyyyyyyyyyyyyy

    ReplyDelete