hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, February 8, 2016

RUBBY KUWALIWAZA WAPENDANAO SIKU YA VALENTINE MAISHA BASEMENT


Yule mwanamuziki kutoka Tht anaefanya vizuri na wimbo wa  NA YULE, Ruby anategemea kuwaliwaza wapendanao siku ya valentine katika club yako ya kimataifa Maisha basement, iliyoko  makumbusho dar es salaam. akiongea na blog hii ya burudani meneja mkuu wa burudani maisha basement hemed kavu hk alisema ''tayari wameshamaliza makubaliano yote na mwanadada huyo ambae kwa sasa ameachia kibao chake kipya kabisa cha FOREVER.. Ruby anategemea kufanya show ya Nusu saa fupi lakini tamu.. wapenzi wa burudani wameobwa kujitokeza kwa wingi kwa maana siku hiyo kutakuwa na burudani YA Kipekee na zawadi kem zitatolewa  kema, GLASS OF RED WINE AND ROSES Kwa watu 200 wa kwanza, pia best couples itakayopendeza itapata zawadi nzuri kutoka maisha basement. ya V.I.P TREATIMENT ALL NIGHT. wapendanao wote watapita kwenye red carpet kupiga picha na Ruby kwenye usiku wa RED ROSE VALENTINE... USIKOSE. kiingilio 10,000 tu.  DRESS CODE RED AND BLACK.

No comments:

Post a Comment