hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, February 8, 2016

BARAKA DA PRINCE KUKIWASHA KWENYE REDROSE VALENTINE NEW MAISHA CLUB DODOMA


Mkali  anaefanya vizuri na wimbo wa  SIACHANI NAE anategemea kuwaliwaza wapendanao siku ya valentine katika club yako ya kimataifa NEW MAISHA CLUB DODOMA,  akiongea na blog hii ya burudani meneja mkuu wa burudani maisha basement hemed kavu hk alisema ''tayari wameshamaliza makubaliano yote na mwanamuziki huyo ambae kwa sasa ameachia kibao chake kipya kabisa cha SIWEZI anategemea kufanya show ya Nusu saa..  fupi lakini tamu.. wapenzi wa burudani wameobwa kujitokeza kwa wingi kwa maana siku hiyo kutakuwa na burudani ya Kipekee na zawadi kem zitatolewa  kema, GLASS OF RED WINE AND ROSES Kwa watu 200 wa kwanza, pia best couples itakayopendeza itapata zawadi nzuri kutoka NEW MAISHA CLUB DODOMA ya V.I.P TREATIMENT ALL NIGHT. wapendanao wote watapita kwenye red carpet kupiga picha na BARAKA DA PRINCE kwenye usiku wa RED ROSE VALENTINE... USIKOSE. kiingilio 10,000 tu.  DRESS CODE RED

No comments:

Post a Comment