Pages

Thursday, January 28, 2016

PAM DEE MESSEN SELECTOR WAZINDUA POPO LIPOPO DANCE PARTY MAISHA DODOMA

Wale wakali kutoka katika familia moja pamera daffa a.k.a Pam Dee na jerry daffa a.k.a messen selector wanategemea kufanya onyesho mwishoni mwa mwezi huu tar 31/01/2016. katika club yako yakimataifa ya maisha club dodoma, blog hii ya burudani imezungumza na manager wa wasaniii hao Geofrey Gilla alisema'' pam na messen selector wanategemea kuingia dodoma siku ya jumamosi siku moja kabla ya onyesho kwa ajili ya kufanya rehasol na sound check pamoja na interview katika radio mbalimbali za mjini dodoma.'' onyesho hili litafanyika siku ya jumapili hii watu wengi, sana sana wanafunzi wanategemewa kuingia kwa wingi na watu wakawaida ukizingatia hiki ni kipindi cha bunge.kwa upande wa manager wa entertiement dodoma mr s dizzo ismail amesema amejipanga kwa kila kitu siku hiyo ya show hii ya kihistoria.

No comments:

Post a Comment