Pages

Thursday, January 28, 2016

DJ HUNTER THE SNIPER MKALI ANAEIENDESHA MAISHA CLUB DODOMA

 Leo nawaletea moja kati ya madeejayz wakali kutoka maisha club dodoma ambaye si mwengine ni deejay hunter the snyper. kiongozi anaewasimamia madj wa maisha club dodoma kijana mwenye nidhani na kuipenda kazi yake. alianza kuupenda muziki muda mrefu sana mpaka leo kusimama dj namba moja dodoma,ukitaka kupata burudani zake kuanzia jumanne mpaka jumapili maisha dodoma. lakini kuna siku kama ya jumanne ya usiku wa figisu figisu na jumamosi kwenye usiku wa ibiza, ndio siku zake ambazo utumia muda mwingi kufanya burudani zake.uwapo dodoma na ukaihitaji burudani ya ukweli maisha club dodoma ndio mpango mzima.
 dj hunter the sniper
 dj hunter


dj hunter akiwa katika pozi

No comments:

Post a Comment