hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, July 22, 2015

FILAMU MPYA YA MSANII MANAIKI SANGA YATIKISA NCHI, WATU WASHIKWA NA KIMUHE MUHE, BOFYA HAPA UONE JINSI MASTAA WALIVYOTOANA JASHO..!

FILAMU MPYA YA MANAIKI SANGA IITWAYO WAKE UP SASA YAANZA KUWAPA HOMA MASHABIKI KUTOKANA NA UTITILI WA WASANII NYOTA. MWEZI WA NANE ITAKUWA MTAANI
 
 Irene Uwoya na Manaiki Sanga wakiwa kwenye mahaba mazito ndani ya filamu hiyo ebu icheki hapo bofya video yake uone jinsi mastaa walivyotoana jasho

 Irene Uwoya akiwa hoi kwa Manaiki Sanga kiasi cha kuchanganyikiwa na penzi lake

Huu ndiyo utitili wa wasanii waliotoana jasho ndani ya filamu hiyo kiasi cha kuwachanganya watazamani kwani mastaa hao wameoneshana shughuri pevu ndani yake.

Huu ndiyo utitili wa wasanii waliotoana jasho ndani ya filamu hiyo kiasi cha kuwachanganya watazamani kwani mastaa hao wameoneshana shughuri pevu ndani yake.

No comments:

Post a Comment