hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, March 18, 2014

Nick Dizzo aja na kampuni mpya hii ni kazi yake mpya. izzo bizness - Tummoghele


Nicck Dizzo akiwa E Media SIKUHIZI HATULALI" by CYRILL KAMIKAZE.

Nick Dizzo ameachana na E Media kampuni aliyekua akifanyanayo kazi na sasa anamiliki kampuni yake mwenyewe inayoitwa Focas. Hii ni Video yake ya pili kuifanya ukiacha ya mtumzima D NOB iliyotoka Jumatano 12/3/2014 iliyopita na kutamburishwa Coco Bich kwenye Karioki. Angalia maujanja ya Izo B kwenye Video hii aliyoiachia ijumaa 14/3/2014 iliyopita kupitia Media tofauti za bongo.

No comments:

Post a Comment