Pages

Friday, February 21, 2014

USIKU WA NYIMBO ZOTE KALI ZA NAIGERIA WAWA GUMZO TANZANIA

Akiongea na manager wa entertaiment new maisha club hyperman hk,amesema ijumaa ya leo ndipo utalindima usiku wa naigeria pale new maisha club dar...zitapigwa nyimbo zote kali kwa style ya drums wit deeejayz, na zungu mnyama the drumer,dvj majey na hyperman hk. kwa kiingilio cha buku 10 mlangoni unapata nafasi ya kuburudika kisasa na ngoma zote kali kutoka naigeria, usikose ukikosa utakuwa ushaharibuuuuu....

No comments:

Post a Comment