Pages

Sunday, February 23, 2014

ANGALIA MASHAHIRI KUNTU YA WIMBO MPYA WA SNURA USHAHARIBU


Kaa tayari kwa ajili ya wimbo huu mpya wa Snura Mushi. Unaojulikana kama Ushaharibu, Huu wimbo Unawazungumzia watu wenye tabia yakuiangalia leo na kuidharau kesho, kwa mfano kuna watu Wamezungumziwa umo ndani kuwa ''Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha,huna pakulala shida Umezizidisha,



Na haya ndio mashahiri ya wimbo huu wa ushaharibu....


Verse ya 1
Unatafuta kick na upo kwenye muziki, Ndio kwanza unahit umetukana mashabiki
 Ulikimbia wazazi ukayafanye mabaya, Tena ulimwaga radhi na umepata miwaya
 Ulitukana wakunga na wakati una mimba,  Ulijiona mjanja kumbe wewe ndio mjinga
Umeombewa kulala umekojoa kitandani, Umetutia haibu kwenye chumba cha jirani


Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha , Una pakulala shida umezizidisha,
 Kuto kujiamini umetapatapa, Umeliacha dume umelamba galasa.x 2

 Chorus

Ndo basi tena ushaharibu,uuuhu
 Kujifanya mjuaji ushahaaribuuuuhu
Umejitia ufundi ushaharibuuuuhu
 Jipange upya ushaharibuuuuuuhu x 2

 Vers ya 2

 Unataka heshima kutoka kwa wako wana , Mbele ya watoto wako matusi unatukana,
 Baba yupo ICU mmeukata umeme, Tena mmeshaharibu wacheni mimi niseme.
 Nilipokuwa chini ulikuwa unitaki,leo hii niko juu unataka urafiki.
Umechomwa sindano na umemeza vidonge, Ulivyo na dharau eti umekunywa pombe.

 Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha , Una pakulala shida umezizidisha,
 Kuto kujiamini umetapatapa, Umeliacha dume umelamba galasa.x 2


 chorus

Ndo basi tena ushaharibu,uuuhu
Kujifanya mjuaji ushahaaribuuuu
Umejitia ufundi ushaharibuuuu
Jipange upya ushaharibuuuuh  x 2


Bridge

Ebu jaribu sasa kufikiria jambo usiharibu, Umeharibu sasa limekushuka sura ina haibu. 
Ebu chunga uchunge uchungweee usiharibu tena. 
Hk chunga uchungwe usiharibu tena, 
We Snura chunga Uchungweeee.
Baby talha chungwa uchungweeeee,
Na mapacha chungwa uchungweeee msiharibu tenaa. 
Ebu chungwa chunga uchungweee UsiharibuTenaaaaaaaaaaaaaaaaa.



Kaa tayari kuupokea wimbo huu mzuri mwanzoni mwa mwenzi wa tatu.




No comments:

Post a Comment