Pages

Thursday, January 9, 2014

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? MTU MWEUSI AJIFUNGUA MTOTO MWEUPE KATIKA NDOA YA BLACK PEOPLE.


UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?

Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.

Kama wewe ni Mume au Mke ungefanya nini?

No comments:

Post a Comment