Pages

Thursday, January 16, 2014

MWANAMUZIKI MAARUFU WA BONGO FLAVA NUSRA AULIWE KWA WIZI WA SIMU, XDEEJAYZ INAKUPA ISHU NZIMA..!





Na Sakina Shabani
 WAKATI mastaa kadha wa kike wakikamatwa kwa makosa ya kusafirisha madawa ya kulevya ndani na nje ya nchi, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni tamaa ya maisha ya anasa, msanii wa muziki wa kizazi kipya, amechezea kichapo cha haja kilichokaribia kumtoa roho yake, baada ya kumchomolea mtu simu ya mkononi Kariakoo, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUPA A-Z ISHU ILIVYOKUWA KAMTA KOPI YAKO MTAANI LEO"

No comments:

Post a Comment