Pages

Thursday, January 16, 2014

KINGWENDU ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE 2015..!!



Na Sakina Shabani
WIMBI la wasanii wa fani mbalimbali kukimbilia katika siasa limezidi kushika kasi, baada ya msanii wa maigizo na vichekesho, Rashid Mwinshehe maarufu kama Kingwendu, kufunguka na kusema kuwa yupo katika mipango ya kuwania nafasi ya ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa nchi utakaofanyika 2015.
"NI JIMBO GANI NA CHAMA GANI NDANI YA GAZETI LA MASKANI BONGO UTAPATA HABARI HII

No comments:

Post a Comment