Pages

Tuesday, November 26, 2013

WAZUNGU WABAKA ZAIDI YA WATOTO 60 WAKITANZANIA KWENYE MSITU WA MABWEPANDE


Zaidi ya watoto 60 wanadaiwa kutekwa na kufichwa katika handaki lililopo kwenye msitu wa Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni - Dar es Salaam, ambalo ndani yake kuna jengo kubwa lenye vyumba.

Utekaji huo unadaiwa kufanywa na raia wa kigeni (Wazungu), wakishirikiana na Watanzania ambapo watoto hao hufungiwa katika vyumba hivyo, kuteswa, kulawitiwa na kubakwa.

No comments:

Post a Comment