Pages

Tuesday, November 26, 2013

SHARO MILIONEA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU KIFO CHAKE

 Msanii aliekuwa anakuja kwa kasi ya ajabu sana katika game la bongo fleva husein mkieti maarufu kama SHARO MILIONEA leo tar 26 -11- 2013 ametimiza mwaka mmoja tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali ya gari mkoani tanga katika wilaya ya muheza kwenye kijiji cha lusanga kwa ajali ya gari. akiongea na msanii kitale aliekuwepo tanga tangu jumamosi iliyopita kwa ajili ya shughuri za kisomo cha kumbukumbu ya marehemu sharo milionea kitale amesema, kumbukumbu itaanza mkesha wa kuhamkia tar 26 ambapo kutakuwa na kisomo mpaka tare 26 yenyewe ndio wataitimisha huko huko tanga katika kijiji cha lusanga alipozikwa marehemu sharo milionea, cha msingi ni dua nyingi ndio zinazoitajika hili ndugu yetu apumzike kwa aman mahala pema peponi amini.
SHARO MILIONEA

No comments:

Post a Comment