Pages

Friday, October 11, 2013

UJUMBE KUTOKA KWA PENNY BAADA YA UVUMI KWAMBA JANA ALIPELEKWA HOSPITAL BAADA YA KUONA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA.



Girl Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa. 

No comments:

Post a Comment