Pages

Thursday, October 10, 2013

DAKIKA 5 BAADA YA PICHA ZA WEMA SEPETU NA DIAMOND KUVUJA..!! HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA DIAMOND INSTAGRAM..!!KUWAZUGA WANANCHI


So baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuinyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja, Diamond amepost hii picha na kuandika “Katika moja ya muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo,Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii…#Tempations Stay Tunes..Location Somewhere
WANANCHI WANAULIZA WAKATI ULE YA PENNY NA DIAMOND WALIAMBIWA NI MOVIE MBONA MPAKA SASA HAIJATOKA? MNASHUTI NAWEMA TENA AU ILE STEP WALIIKATAA.? 

SIO MIE MAONI YA WANANCHI.!!!!

No comments:

Post a Comment