Pages

Tuesday, October 29, 2013

MENEJA WA SNURA AKOSWA KOSWA NA BASTOLA NA BABA MKWE WAKE KISA DEMU

 Ni katika filamu mpya ya kibongo inayokuja hivi karibuni inayokwenda kwa jina la KISASI CHA MOYO moja kati ya filamu bora kabisa tanzania hautakiwi kukosa wala sio vizuri kuadithiwa ni vizuri kuchukua nakala yako mapema pale itakapoingia sokoni mwenzi wa kumi na mbili. Imechezwa na wasanii wakali na wazoeefu katika tasnia ya  filamu tanzania akiwepo ROSE NDAUKA,HYPERMA HK,MZEE JENGUA,BIBI DODO,STELLA,HAMIS MUSA, MARIETH na wengine kibao ina story kali yenye kufundisha na kuburudisha na kusisismua usikose nakala yako. 
 hapa akiwa anamvia mtoto getini kwa mzee jengua wakatia alishapigwa marufuku kusogea katika nyumba hiyoooo
 akichungulia bila mafanikio na simu haipokelewi
 ngoja nitume msg tuone itakuwaje
 Mara mtoto huyu kaja kwa mnyamwenzi hk, huku akijidogodesha
 full malavidavi
 Mz jengua bastola mononi
 kaanza na mlinzi baada ya kumkosa mtuhumiwa wake



 hapa rose ndauka akijitaarisha kutengeneza mazingira ya kuwa na mnyama mkali hk
 director camera man CHIWA
 Baada yakukimbizwa na bastola na mzazi wake sasa na yeye anaamua kumtimua demu wake asije kumfanya akafa kisa mapenzi full kuwakimbiza.

 ukitaka kujua kilichokuwa kitaongelewa hapa usikose filamu hiiii
 rose ndauka unajua kwanini amekuwa chizi kwenye filamu hiii usikose ikitoka
hapo kama tukishooo love na mzeee jengua usikose hii kitu ikitoka hatari sana.

No comments:

Post a Comment