Pages

Monday, October 28, 2013

BAADA YA KUFANYA BALAA FIESTA XTREME DEEJAYZ WIKI WAPO DODOMA,NEW MAISHA CLUB

Lile chama jipya la burudani lililoleta style mpya kabisa ya upigaji disco kwakutumia drums wiki iliypita walifanya balaa kubwa katika tamasha kubwa la fiesta kila aliekuwepo kwenye tamasha hilo alitaman xtreme deejayz wasimalize kupiga ngoma, IJUMAA hii wakali hao watakuwepo new maisha club dar na jumamosi watakuwa wakifanya balaa lao NEW MAISHA CLUB DODOMA ya tar 02, usikose kiingilio buku 10 tu.

No comments:

Post a Comment