Pages

Thursday, September 5, 2013

MAMA MTU MZIMA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE:



Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.

ANGALIA PICHA ZAIDI....
 
Mwanamke  huyo amekamatwa  akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways  na  aliingia hapa nchini Agosti 30 akitokea Nigeria. 

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege, Renatus Chalya, Ojo ataendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwenye  ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo  na   thamani yake...

Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo .










No comments:

Post a Comment