Pages

Tuesday, September 3, 2013

GARI AINA YA FUNGARGO YAPEWA JINA LA MZEE NGURUMO KISA DIAMOND PLATNUM

Diamond akimuonyesha Mzee Ngurumo Gari ambayo amemzawadia
Tukio la msaniii maarufu tanzania DIAMOND PLATNUM kumzawadia gari mzee ngurumo aina ya fungargo, watu mbalimbali wamejikuta kuziita hizo gari jina la mzee ngurumo kama kuenzi tukio hilo la kihistoria ,leo asubuhi mitaa ya upanga dar es salaam mwandishi wetu alimsikia muhuza madafu akimwambia mtu aliekuwa akipita na fungargo ,  akasema ''pita taratibu na mzee ngurumo yako.mwandishi wetu alicheka sana baada yakusikia kauli ile kutoka kwa muhuza madafu.




Mzee ngurumo hiyo imetulia kinoma

No comments:

Post a Comment