hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, April 25, 2013

YALIOJILI KWENYE BIRTHDAY YA EMMY STANLAY USIKU WA JANA

 Kutoka kushoto ndio mbethidey mwanadada emmy stanley, tisher sana jembe langu nakukubali sana najua wajua.

 Kama jinsi unavyooona mwanadada katokelea kikwetukwetu,made in tanzania pendeza sana bidada.



 Ulipopigwa wimbo wa nipe kidogo wa hyperman hk watu walianza kufanya yao mpaka chini miuno miuno ilikuwa hatari sana kiukweli palichangamka sana

 Totoz za ukweli zilihusika poa maeneo hayo



 Keki ndio hii,kama unavyooona mwenyewe.





I  hope ilikuwa poa sana kwakweli mana bata la hatari lilihusika usiku wa jana kama ambavyo picha zinajionhyesha , kwa yaliojili usiku wa jana.

No comments:

Post a Comment