hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, April 25, 2013

HAPPY BIRTHDAY ZHAI KHALID SEMGALAWE UMETOKELEZEA KWA BIRTHDAY YAKO

 Happybirthday to u

 Nipe kidogo ilihusika poa miuno miuno mwanzo mwisho ilikuwa hatari sana inavyoonekana 

 Hapa dada mkubwa zawia mtage akiwa na mbethidey zhai

 '' Hapa akichati kuwaambia watu kama huku pamenoga njooni tuje kula keki tupo MEDITERANIUM HOTEL.


 KHALFANI alikuwepo kama kaka kuakikisha kila kitu kinaenda poa

 Mpango ulianzia mchan mchana baadae kikiza kiza kama kawa

 Kutoka kushoto mama NYAURINGO,ZWIA MTAGE ,ZHAI NA MWISHO GLORIA na alikuwepo

 Mtu na shoga hapo wazee wa lager walihusika poa sana kwenye b day ya mtoto wa mzee khalid


KIUKWELI ILIKUWA POA SANA, NAJUTA KWANINI NILIKOSA ILA POA MWAKANI KAMA KWA AU BIRTHDAY YA DADA REHEMA NITAKUWEPO MAMA YA HELAAAAA.

No comments:

Post a Comment