Pages

Monday, April 22, 2013

DIAMOND USO KWA USO NA CHIDY BENZI KWA MARA YA KWANZA TANGU AMUIMBE KAMA NDO ZAO KUTOBOA PUA

 Mie nilijua kitanuka hapo au anaminywa mtu mkono!!!!  lakini chakushangaza na kufurahisha hali ilikuwa ya aman furaha na upendo,tofauti na watu wengi walivyozania.

 Navyomjua rashidi akiweka sura hii ni kama anacheka mdomoni lakini moyoni ngumi mkononi.

Haya yote yalijili new maisha club usiku wa jana kwenye show ya uzinduzi wa video ya madee nani kamwaga pombe yangu.

No comments:

Post a Comment