Pages

Saturday, March 30, 2013

HAPPY BITHDAY P FUNK MAJANI


Leo ni siku ya kuzaliwa mmoja wa watu walioufanya muziki wa bongoflava ufike hapa ulipo na kuutangaza nje ya mipaka ya Tanzania. Ni muandaaji wa muziki ambaye amevitoa vichwa vingi vikubwa unavyovifahamu katika ramani ya muziki nchini. Ni muasisi wa studio ya Bongo Records ambaye mpaka leo Beats zake zina ujazo wa kutosha kulinganisha na wengine. HAPPY BIRTHDAY Paul Matthysse "P-FUNK Majani".

Uko juu sana broyher mie HYPER HK ni mmoja kati ya watu ambao nilishawahi kufanya kazi na  p funk majani katika wimbo wangu wa birthday nilimshirikisha DULLY SYKES was a good song.

No comments:

Post a Comment