Pages

Saturday, March 30, 2013

DODOMA HAPATOSHI LEO KAMA UPO DOM USIKOSE KUTOKELEZEA MAISHANI

 dvj majay na hyperman hk wakifanya yao huwa hatariii hakuna anaekaaaaaaaa wete uwanjaniiiiii Haya yalitokea MTWARA watu wangu wa DODOMA LEO mjitokeze mjionee wenyeweeeeeeee

 Hyperman hk akihamsha mashetani yaliolala

 Zawadi za kijanja sana zinatolewa usikose mzee mwenzangu


 Mazawadi kama kawazzzzzz

Hivi ndivyo wapenda burudani wanavyochizika KILI XTREME DEEJAYZ wakiwa wanapiga sehemu ni hatari tupu usikose leo maisha club dodoma ujionee mambo,uburudike vya kutosha sana

No comments:

Post a Comment