hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, March 18, 2013

BREAKING NEWZ TRAFIC AGONGWA NA GARI WAKATI AKISUBIRIA MSAFARA WA RAIS KUPITA

Ajali mbaya ya gari imetokea leo mchana huu wakati wa msafara wa rais maeneo ya bamaga ambapo trafic alijulikana kwa jina moja koplo erikiza anaeishi kota za police maeneo ya oysterbey mzaliwa wa arusha amegongwa na gari wakati akisubiria kusimamisha magari msafara wa rais kupita kabla ya msafara kupita lilitoikea gafla na kumgonga kisha kukimbia gari hiyo mpaka muda huu gari hiyo haijapatikana.

No comments:

Post a Comment