Pages
▼
YALIOJIRI SIKU YA VALENTINE'S DAY MAISHA CLUB MTWARA
Dvj majey na hyperman hk waliwarusha sana wapendao siku hiyoooo
wafanyakazi wa new maisha club mtwara wakionyeshana upendo siku ya wapendanao
Huyu mdada mrembo ukiingia maisha unamkuta V.I.P anakatisha tiketi
Huyu hapa DJ ali bwege kutoka mtwara
Umati mkubwa ukipata burudani kutoka kwa dvj majey na hyperman hk
Watu wanakula bata zao
Nguo nyekundu zilitawala sana
Dj geogre wa new maisha club mtwara
Wapendanao wakijipatia kilimanjaro zao baridiiiiii wakitoka hapo nikujitoa kwenye mapenzi ya analogi na kuingia digital
No comments:
Post a Comment