Pages

Saturday, February 16, 2013

LULU USO KWA USO NA MAMA YAKE KANUMBA KWENYE KABURI LA KANUMBA

Pichani ni Elizabeth Michael/Lulu na Mama mzaz wa Marehemu Steven Kanumba (Face to Face Makaburini).. kama imekugusa kwa namna ya kipekee..Picha hii inakufundisha nini mdau?COMENT hisia zako.Bila shaka usoni au moyoni mwako linakuja jibu la samehe 7 mara 70, ukweli uko moyoni mwetu.
 

No comments:

Post a Comment