hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, February 3, 2013

XTREME DEEJAYZ WAKIWA NJIANI KUTOKEA DODOMA MAENEO YA MBANDE WANAKULA NYAMA

 Dvj majey na hyperman hk wakiwa maeneo ya mbande karibu kabisa na mji mkuu wa tanzania dodoma

 Hapa nilikuwa naongea na simu na dj choka

 'hoya mzazi niko maeneo ya mbande dodoma ngoja nile nyama nitakipigia'

 Uwezi kununua nyama bila ya kuonja lazima uonje kwanza.kata kipande tuonje.mipe kidogo


 Muhuza nyama maalufu wa mbande

 Pande buku mbili tu na chenji inarudi

 katakata weka kwenye hotpot kwani nini


 Nilipomshangaza dj majey nilipotoa mfuko wa ndimu aliniuliza nilinunua saa ngapi? mana kupata ndimu hapa mbande ni kazi sana na nyama mwenzake ndimu'

 katakata ndimu weka kwenye sahani na pilipili na chumvi,.

 kausha nyama mzazi

 pilipili imeshatengenezwa kitu cha chahcanndu iko hapo kimekamilika

 hoya mzazi picha yetu ukija siku ingine tuletee mzazi au kama vipi tutokee hata kwenye video sio mbaya

 kausha nyama kausha

 nyama tamu sana hizi hapa

tunaamini ni za mbuzi kama sio tena mhh tutajua mbelekjwa mbele

No comments:

Post a Comment