HIKI NDIO ATAKACHOKIFANYA SNURA LEO NEW MAISHA CLUB
Mdada kutoka mombasa mwalimu wa snura kwenye viuno akifanya yake katika rieso ya show ya leo itakayofanyika new maisha club,wakati snura atazindua wimbo wake wa majanga hii sio yakukosa kiingilio 8,000 tu na wasanii kibao wakubwa kumsindikiza usikoseeeeeeeeeeeee
dvj ommy crayze na hyperman hk ndio watakaoendesha show ya leo
a
mzuka umepanda mpaka mtu mzima ameamua kwenda kutunza chupa ya maji kwa snura ahahah
wakiteta jambo kidogo baada ya mazoezi
No comments:
Post a Comment