"JAPO KUNA WATU WANANIPONDA, LAKINI BIG BROTHER LAZIMA NITASHIRIKI"....T.ID
Nia ya Khalid Mohamed aka Top in Dar kutaka
kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu iko pale pale licha ya kuwepo
watu walionza kumkatisha
tamaa.
Kupitia Facebook TID
ameandika, “A Bad Company always corrupt a good
character…I wont accept that, I WILL Be in a Big Brother
Superstarz.”
Mwandishi wa ripoti hii amempigia simu TID kutaka kupewa ufafanuzi wa alichokiandika ambapo
amesema alimaanisha kuwa tangu Bongo5 imtaje kuwa miongoni mwa mastaa wanaoweza
kuwa wawakilishi wazuri wa Tanzania katisha shindano hilo mwaka huu na watu
wengi kumuunga mkono, kumetokea watu wachache wanaosema
hatoweza.
TID amesema maneno hayo hayamkatishi tamaa na
kwamba msimamo wake wa kuchukua fomu kujaribu bahati yake uko pale pale ambapo
anatarajia kuichukua wiki hii.
“Hey bro! jst trust in urself go there n bliv t or not u
gonna do smthng splendid,i adore u as wel as im ur fan so i bliv u wil do smthng
so splendid and we as tanzanians we bliv in t…wsh ya ol da best, ”
aliandika shabiki wake mmoja.
“As i have been buying ur albums,listening to your
music,watching your videoz,come to ur show’z and many more……my positive support
by VOTING alooooooooooooo……t for U@Tid Tid Topband,” aliandika
mwingine.
No comments:
Post a Comment