Pages

Wednesday, February 6, 2013

ALI KIBA AKANUSHA KUJIUNGA NA DINI YA SHETANI

 Tovuti moja ya habari ya kenya Dail post imetundika habari iliyomtaja mwananmuziki wa bongo fleva, ali kiba kuwa miongoni mwa mastar wa barani afrika wanaohisiwa kujiunga na jamii ya siri ya dini inayohabudu miungu ya kishetani ya illiminati.katika habari hiyo iliyochgapishwa katika tovuti hiyo wiki iliyopita,imeeleza kuwa kiba amekuwa akitajwa sana katika tovuti za kijamii kuwa mfuasi wa imani hiyo,kama ilivyo kwa mastar wengine wa kiafrika wenye tuhuma kama hizo,wasanii wengine waliotajwa ni AKON,P SQUARE,WIZKID,CAMP MULLA,CABO SNOOP,D'BANJ,CHAMILION,GENEVIVE,NONINI,NAMELESS na AVRIL.alipoulizwa kuhusu hili ALI KIBA na kachero wetu kinyemela ''alisema Mitandao ya kijamii kila siku uzungumza wanachojiskia pasipo na ukweli wowote hakuna kitu kama icho mie ni mtoto wa kiislamu na dini yangu ni moja sina dini ingine, waache waongee sie watu wenye majina kuzungumziwa tofauti ndio hulka yetu kwahyo siwezi kuwakataza kuongea vitu kwasababu sijui nani ameanzisha habari hizo''

 
 
D' BANJ
 

 AKON

WIZ KID

 GENEVIVE

PETER WA P SQUARE

No comments:

Post a Comment