hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, January 27, 2013

USIKU WA KILI XTREME DJZ ULIVYOFANA @NEW MAISHA CLUB DAR

 Baada yakufanya poa NEW MAISHA CLUB MTWARA wiki iliyopita Usiku wa jana XTREME DEEJAYZ waliendeleza burudani safi na ya kinyama katika jumba la burudani dar es salaam NEW MAISHA CLUB, Kundi hilo la madeejayz linaloundwa na DVJ MAJEY na HYPERMAN HK walifanya balaa kubwa sana kwa kupiga ngoma kali na kukubalika kwa asilimia mia moja na wapenzi wa burudani dar es salaam.Wakali hao wa xtreme deejayz alhamis hiii ya tar 31 ya mwenzi wa kwanza watakuwa NEW MAISHA CLUB DODOMA kwenye kili night ambapo kiingilio itakuwa elfu 5000 na kina dada wataingia bure kabisa.usikose maujanja haya yakinyama sana kutoka kwa KILI XTREME DEEJAYZ ambayo imedhaminiwa na  KILIMANJARO PREMIUM LAGER, BONGE LA KIBURUDISHO KWA WATANZANIA

 People having unstoppable fun from kili extrene deejayz


Totoz za kumwaga zilikuwepo kuona makali ya xtreme deejayz

 

 TISHERRRR SANA VIJANA

 It was crayze

 DJ KU with the friend  In da house

NO COMENT

 GILLA THE BOSS n COSTEMER CARE

 These are kili XTREME DEEJAYZ who were rocking the show,HYPERMAN HK with DVJ MAJEY.

 SWAGGZ WERE ON

 DJ ALLY B WAS IN THA HOUSE

HAPPY PEOPLE

No comments:

Post a Comment