hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, January 23, 2013

RATIBA YA XTREEME DJ's MWEZI HUU



Wale madeejay wakali wanaounda kundi la kili xtreme deejayz DVJ MAJEY na HYPERMAN hk alhamiss hii ya tar 24 watakuwa new maisha club mtwara na baada ya hapo watakuwa dare salaam jumamosi hii ya tar 26 new maisha club dar na dodoma watakuja tar 31 mwenzi huu wa kwanza. Cruew hii ya madeejay inayodhaminiwa na kilimanjaro primium lager inazunguka mara 3 kila mwenzi kwenye club za za new maisha club zilizopo dar dodoma na mtwara. Usikose kuja kuona maujanja ya kinyama yanayofanywa na wakali hawa wa jijini dare es salaam.

No comments:

Post a Comment