hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, May 22, 2014

MGANGA WA MASTAA NA VIONGOZI NCHINI ACHAFUA HALI YA HEWA KWENYE MSIBA WA MAREHEMU KUAMBIANA, ANGALIA KILICHOTOKEA LIVE..!


 Mganga maarufu wa mastaa nchini Dokta Kamdege akiwa na zana zake za kazi
 Dokta Kamdege akiwa na zana zake za kazi maeneo ya Tabata alikofikia kwa sasa.
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga aliyejichukuia umaaru mkubwa nchi na nje ya nchi Dokta Kamdege leo hii amechafua hali ya hewa kwenye msiba wa marehemu Adam Kuambiana baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza mbele za watu
Mganga huyo mwenye makazi yake Mkoani Tabora lakini kwa sasa yuko Jijini Dar maeneo ya Tabata ameonekana akiwa kwenye msiba huo huku akiwa amevalia suti nyeusi na miwani mieusi.
Mganga huyo ambe amekuwa msaada mkubwa kwa watanzania na hata raia toka nje ya nchi hivi karibuni alifanya maajabu makubwa nchini Burudundi baada ya kumfumbua mtu macho ambae alikuwa amerogwa kimuujiza na kuwa kipofu.
Tukio hilo limempa umaarufu mara dufu huku akieleta heshima Tanzania huku miti shamba zake zikizidi kuaminiwa na watu mbalimbali Duniania.
Aidha mganga huyo ambae anasaidia sana watu kwa kuwanyooshea mambo kwa kuwapa dawa ya miti shamba huku aking'arisha biashra, kazi, nyota na mambo mengine, pia anasaidia mtu kuwa tajiri kwa kazi yoyote anayoifanya.
Mganga huyo ametoa rai kwa wakazi wa jiji la Dar kuendelea kufika kwake kwa ajili ya kupata baraka zake kwani ana siku chache za kuwepo Dar na wampigie simu namba  0788-844490 au 0763-146431 na moja kwa moja wataongea nae live.
Hata hivyo kuonekana kwenye msiba mganga alisababisha wananchi mbalimbali kumshangaa huku wengine waking'ang'ania namba yake ya simu.

No comments:

Post a Comment