hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, May 8, 2014

ANGALIA STAA WA KIKE WA BONGO MOVIE ALIVYOTUPIA PICHA YA AIBU MTANDAONI..!

  NI JACKLINE WOLPER?

 NI REHEMA FABIAN?

  NI STAA GANI HUYU?
Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua staa mmoja wa kike nchini anaejihusisha na ugizaji wa filamu za kibongo ameachia picha kimitego mtandai na kuzusha mjadala mzito.
Habari za uhaika zilizoifikia mtandao huu zinasema kuwa picha hii imevujishwa makusudi mtandaoni ili wadau wapande dau, hata hivyo licha ya mtandao huu kuchunguza kwa kina ili kumtambua staa huyu lakini mambo yamekuwa magumu kutokana na kuficha uso wake.
Hata hivyo wasomaji wa mtandao huu wa Maskanibongotz wamekuwa wakihisi mastaa mbalimbali wenye majina makubwa tanzania lakini kutokana na kukosa ushahidi wa kutosha tumeshindwa kumlenga moja kwa moja muhusika.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT,COM

No comments:

Post a Comment