hk CONTACTS

hk CONTACTS

Friday, September 6, 2013

JOVIN A.K.A SUPER STAR MSANII WA MPYA AMBAYE YUPO CHINI YA BOSS NGASA

Msanii mpya wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kama jovin ameachia ngoma yake ya kwanza itakayomtambulisha kwenye game ya bongo flava, kijana huyu anefanya miondoko mbalimbali hivi karibuni ametupa jiwe lake la kwanza redioni na yuko tayari kutoa na video ya wimbo hiyo wimbo wake mpya unaitwa TOKELEZEA.....SIKILIZA DOWLOAD HAPA wimbo wa JOVIN = TOKELEZEA 
http://www.hulkshare.com/bossngasa/jovin-tokelezea

No comments:

Post a Comment